Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
MAJI YA DUNIA
MAJI KILA MAHARI
Angalia umezungukwa
Maji iko kila mahali
Maji hutoka mbinguni na kutiririka hapa duniani
Huenda duniani na kujaza mabwawa ya maji
MAJI KAMA MAJIMAJI
Sehemu kubwa ya dunia imefunikwa na maji
Maji iko kwa bahari, maziwa, na mabawa
Maji kutoka kwa mawingu kama mvua
Maji yote iko kwa hali ya majimaji
Maji inaweza titirika kutoka sehemu moja hadi nyingine
Huchukua sura ya kitu chochote ukiweka ndani
HALI YA HEWA
Maji inaweza badirika kuwa hali ingine
Maji hubadirika kutoka hali moja hadi nyingine kwa sababu ya joto
Hali ya hewa hulingana na vile kitu iko joto ama baridi
Maji kama kitu ngumu
Fikiria kama mvua ikinyesha kutoka mbiguni
Mvua huwa kwa hali ya maji maji
Nini hufanyika hali ya hewa inapokuwa baridi?
Hapo ni kweli- mvua kuwa barafu
Wakati mvua ina kuwa barafu, inabarisha hali kutoka kioevu kuwa maji ngumu
Hiyo maji ngumu ni barafu
Barafu ni ngumu, na huwa na sura yake
Theruji ni vipande vidogo vya barafu
Milima zingine ziko na vipande vikubwa vya barafu zinavoitwa glaciers
Icicles ni hali ingine ya barafu
Nini hufanyika kwa barafu kunapo kuwa na joto?
Barafu huyeyuka na kuwa maji tena
MAJI KAMA GESI
Nini hufanyika kwa maji wakati hali ya hewa imekuwa joto zaidi?
Maji kwa mchanga hupotea baada ya jua kutokea
Ni wapi maji huenda?
Nguvu ya jua kufanya maji kubadirisha hali yake
Maji kubadirika kuwa gesi
Maji hupotea, ama huenda kwa hewa
Maji ikuwa gesi huwa ni ya gesi maji
Gesi maji ni vipande vidogo vya maji kwenye hewa
Huwezi ona gesi maji lakini unaweza isikia
Gesi maji kufanya siku za joto kuwa na maji
Gesi maji inaweza badirika hali ya hewa inapokuwa chini
Gesi maji hubadirika na kuwa maji
Tena unaweza iona
MAJI KWA UHAI
Mimea na wanyama huhitaji maji
Maji husaidia kila kitu duniania kuwa na uhai
----Formal English----
EARTH’S WATER
WATER ALL AROUND
Look around you.
Water is everywhere.
Water falls from the sky and flows overland.
It goes into the ground and fills bodies of water.
WATER AS A LIQUID
Most of our planet is covered with water.
Water is in oceans, rivers, lakes, and ponds.
Water falls from clouds as rain.
All this water is in a liquid state.
Liquid water can flow from one place to another.
It takes the shape of whatever it is in.
TEMPERATURE
Water can change from a liquid state to other states.
Water changes from one state to another because of temperature.
Temperature is how hot or cold something is.
WATER AS A SOLID
Think about rain falling from the sky.
The rain is in a liquid state.
What happens if the weather gets very cold?
That’s right—the rain freezes!
When rain freezes, it changes from a liquid state to a solid state.
The solid state of water is ice.
Ice is hard, and it has its own shape.
Snow is tiny pieces of ice.
Some mountains have huge pieces of ice, called glaciers.
Icicles are another form of ice.
What happens to the ice if the weather gets warm?
The ice melts and becomes a liquid again!
WATER AS A GAS
What happens to liquid water when the temperature is very hot?
Puddles go away after the sun comes out.
Where does the liquid water go?
Energy from the sun causes the water to change state.
The water changes from a liquid state to a gas state.
The water evaporates, or goes into the air.
Water in a gas state is water vapor.
Water vapor is tiny bits of water in the air.
You can’t see water vapor, but you can feel it.
Water vapor makes hot days feel sticky.
Water vapor can change when the temperature gets lower.
The water vapor condenses and becomes liquid water.
Then you can see it again!
WATER FOR [...]