Learn Swahili | SwahiliPod101.com

Extensive Reading in Swahili for Intermediate Learners #10 - What time is it?


Listen Later

Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal Swahili----
NI SAA GAPI?
SAA NI NINI?
Ni saa gapi wakati huu?
Watu huongea sana kuhusu saa, lakini saa ni nini?
Saa ni wakati vitu kufanyika.
Saa pia ni muda unaotumika kwa vitu kufanyika.
VITENGO VYA SAA
Piga makofi haraka mara nne kwa makundi
Sekunde moja imepita ulipokuwa unapiga makofi.
Sekunde sitini kutengeneza dadika moja.
Dakika sitini kutengeza saa moja.
Masaa ishirini na manne kutengeneza siku.
Sisi huweka saa kwa kuangalia saa
Wacha tusome jinsi ya kutumia saa kujua ni saa gapi.
SAA ZA ANALOGI
Saa za analogi ziko na nambari za duara.
Mikono mbili hungalia nambari tofauti.
Mkono mfupi huonyesha saa na mkono mrefu huonyesha dakika.
Nambari ni za masaa.
Mikono fupi na refu imeshikana?
Basi ni saa kamiri
Nambari pia ni za madakika.
Kila nambari ni dakika tano.
Kila laini katikati ya nambari ni dakika moja.
Hesabu kwa tano kwa dakika zote kwa saa moja.
Hesabu kwa hiyo njia mishale inapoonyesha.
Mkono wa dakika huonyesha ni muda upi umepita baada ya saa moja.
Hii saa inaonyesha ni dakika kumi zimepita baada ya saa kumi.
Saa hii ni "Dakika kumi zimepita saa kumi" ama " Dakika kumi baada ya saa kumi" ama "Saa kumi na dakika kumi"
Unaweza andika kama 4:10
Ni saa gapi hizi saa zinaonyesha?
Wakati mwingine mkono wa dakika uko upande wa kushoto wa saa.
Basi sisi husema ni dakika gapi zimepaki kabla ya saa.
Hesabu ni dakika gapi nyuma ya saa hapo juu.
Hesabu hiyo njia kwa pointi za mishare
Hii saa inaonyesha dakika kumi zimebaki ifike saa tisa kamili.
Saa inaonyesha ni "dakika kumi kwenda saa tisa" ama dakika kumi ya saa tisa.
Hiyo ni dakika kumi kwenda saa tisa kamili.
Ungependa kuandika saa kwa nambari?
Hesabu dakika kutoka juu ya saa.
Tumia hiyo njia kuhesabu pointi za mishale.
Saa hii ni 3:50
Fikiri saa nikama charti duara.
Kila nusu ni dakika therathini.
Ni saa gapi?
Sasa charti ya duara imekatwa mara nne.
Kila kipande ni dakika kumi na tano.
Kila kipande ni robo ya charti duara.
Jifunze hizi saa.
Unaweza ona kila saa iko na majina mengi?
Nini hufanyika wakati mikono zote zimepoiti kumi na mbili.
Inaweza kuwa saa sita michana ama saa sita usiku.
SAA ZA DIGITALI
Saa za digitali hazina mikono.
Huonyesha saa na nambari.
Unaona aina zote mbili za saa.
Ndio maana ni muhimu kujua kueleza saa.
----Formal English----
WHAT TIME IS IT?
WHAT IS TIME?
What time is it right now?
People talk about time a lot, but what is time?
Time is when things happen.
Time is also how long it takes for things to happen.
UNITS OF TIME
Clap your hands fast four times in a row.
One second passed while you were clapping.
Sixty seconds make up a minute.
Sixty minutes make up an hour.
Twenty-four hours make up a day.
We keep track of time with clocks.
Let’s learn how to use a clock to tell time.
ANALOG CLOCKS
Analog clocks have numbers in a circle.
The two hands point to different numbers.
The short hand tells the hour, and the long hand tells the minutes.
The numbers are for the hour.
Are the short and long hands lined up?
Then it’s right on the hour.
The numbers on a clock are also for minutes.
Each number is five minutes.
Each little line between the numbers is one minute.
Count by fives for all the minutes in an hour.
Count the same way the arrow points.
The minute hand tells how much time has passed after an hour.
This clock shows ten minutes after four o’clock.
The time is “ten past four” or “ten after four” or “four ten.”
You can write the time as 4:10.
What times do these clocks show?
Sometimes the minute hand is on the left side of the clock.
Then we talk about how many minutes before the next hour.
Count the minutes backward from the top of the clock.
Count the same way the arrow [...]
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Learn Swahili | SwahiliPod101.comBy SwahiliPod101.com

  • 4.4
  • 4.4
  • 4.4
  • 4.4
  • 4.4

4.4

37 ratings


More shows like Learn Swahili | SwahiliPod101.com

View all
Learn Japanese | JapanesePod101.com (Audio) by JapanesePod101.com

Learn Japanese | JapanesePod101.com (Audio)

618 Listeners

Global News Podcast by BBC World Service

Global News Podcast

7,778 Listeners

Learn Korean | KoreanClass101.com by KoreanClass101.com

Learn Korean | KoreanClass101.com

283 Listeners

Learn Spanish | SpanishPod101.com by SpanishPod101.com

Learn Spanish | SpanishPod101.com

666 Listeners

Learn Italian | ItalianPod101.com by ItalianPod101.com

Learn Italian | ItalianPod101.com

427 Listeners

Learn German | GermanPod101.com by GermanPod101.com

Learn German | GermanPod101.com

419 Listeners

Learn French | FrenchPod101.com by FrenchPod101.com

Learn French | FrenchPod101.com

388 Listeners

Learn Arabic | ArabicPod101.com by ArabicPod101.com

Learn Arabic | ArabicPod101.com

156 Listeners

Learn English | EnglishClass101.com by EnglishClass101.com

Learn English | EnglishClass101.com

864 Listeners

Learn Portuguese | PortuguesePod101.com by PortuguesePod101.com

Learn Portuguese | PortuguesePod101.com

116 Listeners

Learn Dutch | DutchPod101.com by DutchPod101.com

Learn Dutch | DutchPod101.com

88 Listeners

SBS Swahili - SBS Swahili by SBS

SBS Swahili - SBS Swahili

5 Listeners

The Daily by The New York Times

The Daily

111,397 Listeners

Life Kit by NPR

Life Kit

4,307 Listeners

Learn Swahili with LinguaBoost by LinguaBoost

Learn Swahili with LinguaBoost

8 Listeners

The Ezra Klein Show by New York Times Opinion

The Ezra Klein Show

15,207 Listeners

Swahili made easy: A podcast for Busy Swahili learners by Karen W. Stringer Ph.D.

Swahili made easy: A podcast for Busy Swahili learners

6 Listeners

Easy French: Learn French through authentic conversations | Conversations authentiques pour apprendre le français by Hélène & Judith

Easy French: Learn French through authentic conversations | Conversations authentiques pour apprendre le français

140 Listeners