Learn Swahili | SwahiliPod101.com

Extensive Reading in Swahili for Intermediate Learners #11 - Holidays


Listen Later

Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal Swahili----
Sikukuu Duniani Kote
Sherehekea
Duniani kote, watu husherehekea sikukuu.
Kila sikukuu iko na maana tofauti an njia tofauti ya kusherehekea.
Marafiki na jamii huja pamoja juu ya sikukuu.
Chakula, michezo, zawadi, kuomba, kuimba, and kuhadithiana zaweza kuwa sehemu ya kusherehekea.
MWAKA MPYA WA KICHINA
Mwaka mpya wa Kichina husherehekewa majira ya kuchipua.
Desturi mingi za hii sikukuu ni za kuleta bahati nzuri kwa mwaka mpya.
Watu huweka misemo mizuri ndani ya nyumba zao.
Huhakikisha nyumba zao ni safi.
Nyekundu na rangi ya machungwa ndio rangi za mwaka mpya wa Kichina.
Watu huvaa hizi rangi kuzuia bahati mbaya.
Vijana hupokea pesa kama zimefungwa kwa karatasi nyekundu.
Chakula spesheli kama machungwa pia hufikiriwa huleta bahati nzuri.
HOLI
Holi ni sikukuu ya Hindu.
Husherehekea mwisho wa majira ya baridi na mwanzo wa majira ya chipuko.
Holi ni wakati wa kucheka na kucheza.
Watu hutengeneza moto mkubwa wakati wa sikukuu hii.
Jivu kutoka kwa huo moto mkubwa hufikiriwa huleta bahati nzuri.
Rangi ni sehemu kubwa ya kusherehekea Holi.
Watu hurembesha nyumba zao na rangi zinazong'aa
Kila mtu huvaa nguo za rangi mingi.
Marafiki hutosi poda ya rangi and maji ya rangi kwa kila mtu.
RAMADHAN NA EID AL-FITR
Ramadhan ni mwezi spesheli wa waislamu.
Wao huheshimu imani yao kwa fikira na maombi.
Watu huwa hawakuli wala kukunywa jua likiwa juu wakati wa Ramadhan.
Baadaya ya jua kutua, marafiki na jamii hukula pamoja.
Sikukuu ya Eid-al-Fitr hufanyika mwisho wa Ramadhan.
Sikukuu yaweza kaa siku moja, mbili ama tatu.
Watu wengi hukusanyika na kutoa maombi spesheli.
Familia huwa na karamu na kupeana zawadi.
Pia, wao hupeana pesa kwa watu wasionjiweza.
SIKU YA WALIO KUFA
Kwa siku ya walio kufa, watu hukumbuka wapendwa wao walio kufa.
Hii sherehe imetoka Mexico na hudumu siku tatu.
Watu husafisha kaburi za wapendwa wao.
Familia zingine h ufanya mandari kwa kaburi.
Wakati wa siku ya walio kufa, watu huacha zawadi za wapendwa wao walio kufa.
Familia hukusanyika pamoja kuhadithia kuhusu hao watu.
Pia wao husherehekea na paredi za rangi mingi.
SHUKURANI
Shukurani ni sherehe ya mavuno.
Ilianza na watu wa kwanza waliotoka Uingereza hadi Marekani kaskazini.
Familia hukusanyika kurudisha shukurani kwa mambo mazuri maishani mwao.
Watu wa familia hutoka mbali.
Watu hukula mlo spesheli na pia hufurahia kuwa pamoja.
Bata mzinga, mshindilio, kranberri na malenge ndio chakula cha shukurani.
Baada ya mlo, watu husema mambo ya kushukuru.
HANUKKAH
Hanukkah ni sikukuku inayo sherehekewa siku nane na wayahudi.
Hii sikukuu husherekea siku za kitambo ambapo mafuta ndani ya taa ilichomwa kwa siku nane.
Watu huakisha mshumaa moja kwa kila usiku wa Hanukkah.
Sherehe za Hanukkah huwa na nyimbo na michezo.
Watoto hucheza mchezo na kitu huitwa dreidel.
Wao hupata zawadi ndogo kila siku ya sikukuu.
Watu hupamba nyumba zao na rangi za Hanukkah ambazo ni bluu na nyeupe.
KRISMASI
Watu wa imani ya kikristo husherehekea Krismasi kila mwaka katika mweziDesemba 25.
Hii sikukuu husherekea kuzaliwa kwa Kikristo mwana wa Mungu.
Watu hupamba mti wa saiprasi kwa mapambo na mwangaza.
Pia hupamba nyumba na yadi zao.
Nyekundu na kinjani kibichi ndio rangi za kidesturi za Krismasi.
Zawadi huwekwa chini ya mti wa mberoshi
Watu hufungua zawadi asubuhi ya Krismasi.
Chakula cha jioni spesheli huwa baadaye siku hiyo.
Muziki pia ni wa maana sikukuu hii.
Makundi ya watu hutembea mitaa wakiimba nyimbo za krismasi, huitwa karos.
KWANZAA
Kwanzaa husherehekea tamanduni za Wamarekani ambao familia zao zilitoka Afrika kitambo.
Hii sikukuu ya mavuno y [...]
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Learn Swahili | SwahiliPod101.comBy SwahiliPod101.com

  • 4.4
  • 4.4
  • 4.4
  • 4.4
  • 4.4

4.4

39 ratings


More shows like Learn Swahili | SwahiliPod101.com

View all
This American Life by This American Life

This American Life

90,906 Listeners

Global News Podcast by BBC World Service

Global News Podcast

7,594 Listeners

The Read by Loud Speakers Network

The Read

27,361 Listeners

Learn Spanish | SpanishPod101.com by SpanishPod101.com

Learn Spanish | SpanishPod101.com

669 Listeners

Learn Italian | ItalianPod101.com by ItalianPod101.com

Learn Italian | ItalianPod101.com

421 Listeners

Learn Japanese | JapanesePod101.com (Audio) by JapanesePod101.com

Learn Japanese | JapanesePod101.com (Audio)

636 Listeners

Learn German | GermanPod101.com by GermanPod101.com

Learn German | GermanPod101.com

407 Listeners

Learn Korean | KoreanClass101.com by KoreanClass101.com

Learn Korean | KoreanClass101.com

283 Listeners

Learn French | FrenchPod101.com by FrenchPod101.com

Learn French | FrenchPod101.com

383 Listeners

Learn Arabic | ArabicPod101.com by ArabicPod101.com

Learn Arabic | ArabicPod101.com

164 Listeners

Learn Portuguese | PortuguesePod101.com by PortuguesePod101.com

Learn Portuguese | PortuguesePod101.com

119 Listeners

Learn English | EnglishClass101.com by EnglishClass101.com

Learn English | EnglishClass101.com

829 Listeners

Learn Dutch | DutchPod101.com by DutchPod101.com

Learn Dutch | DutchPod101.com

91 Listeners

Science Vs by Spotify Studios

Science Vs

12,220 Listeners

The Daily by The New York Times

The Daily

112,277 Listeners

Up First from NPR by NPR

Up First from NPR

56,530 Listeners

マユリカのうなげろりん!! by ラジオ関西

マユリカのうなげろりん!!

111 Listeners

What Now? with Trevor Noah by Trevor Noah

What Now? with Trevor Noah

4,225 Listeners

LSN: Swahili made easy ™ Podcast by Karen W. Stringer Ph.D.

LSN: Swahili made easy ™ Podcast

7 Listeners