Learn Swahili | SwahiliPod101.com

Extensive Reading in Swahili for Intermediate Learners #13 - Tornadoes


Listen Later

Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal Swahili----
TUFANI
TUFANI!
Nyumba huharibiwa kwa sekunde.
Gari hurushwa juu ya hewa.
Gari ya moshi hupinduliwa.
Mti hung'olewa kutoka kwa ardhi ikiwa na mizizi.
Hizi ni vitu za tufani ama kimbuga - mazingira ya hewa ambayo ni kali zaidi.
JE, TUFANI NI NINI?
Tufani ni nguzo ya hewa ambayo inazunguka.
Hutambaa kutoka kwa radi hadi chini kwa ardhi.
Tufani zingine huzunguka haraka kuliko zingine.
Upepo unaozunguka haraka sana ni maili 300 kwa saa.
Kwa ardhi, tufani mingi ziko chini ya robo ya maili.
Lakini, zingine zaweza kuwa kubwa kuliko maili.
Tufani mingi ziko kwa ardhi kwa dakika kumi na dakika thelathini.
Tufani iliyo na nguvu sana hukuwa kwa ardhi kupita saa moja.
JINSI TUFANI HUJITENGENEZA
Tufani mingi hunjitengeneza kutoka kwa radi kubwa sana zinazo itwa chembechembe kubwa.
Hizi dhoruba hutengeneza zikiwa moto, wakati hewa iliyo na maji hushikwa chini ya hewa kavu.
Hewa iliyo joto inapo panda juu, inakuwa baridi na kutengeneza mawingu na radi.
Wakati mwengine, hewa huanza kuzunguka haraka sana na kutengeneza umbo la faneli ama mrija.
Upepo unaozunguka unapogusa chini, unakuwa tufani.
Wanasayansi hawajui kwanini chembechembe-kubwa zingine hutoa tufani na zingine hazitoi.
TUFANI HUJITENGENEZA WAPI
Tufani zaweza jitengeneza kutoka kila mahali.
Lakini, Marekani iko na tufani mingi kuliko nchi zingine.
Kila mwaka, Marekani huwa na kama tufani elfu moja.
Canada ndio ya pili kwa tufani kama mia moja kila mwaka.
Tufani mingi hujitengeneza mahali panaitwa Tornado Alley.
Hii eneo liko katikati ya Marekani.
Hewa joto, iliyo na maji kutoka ghuba la Meksiko hupata na hewa baridi na kavu kutoka Kanada.
Tufani Alley hupata joto, na hewa kavu kutoka kusini-magharibi.
WAKATI TUFANI HUUNDA
Tufani zaweza jiunda wakati wowote wa mwaka.
Tufani mingi huunda kati ya mwanzo wa majira ya chipuko na katikati ya majira ya joto.
Mei na Juni ziko na tufani mingi.
Zaidi ya tufani mia saba zilijiunda aprili 2011.
Hizo ndio zilikuwa tufani mingi zaidi kwa mwezi mmjoa tangu rekodi iwekwe.
Aprili 27, 2011, tufani 207 zilijiunda kwa muda wa masaa 24.
Hizo ndio zilikuwa tufani mingi zaidi kwa siku moja.
KUPIMA TUFANI
Wanasayansi wa hali ya hewa hawana njia halisi ya kupima upepo wa tufani.
Badala, wao hutumia mizani ya Fujita kupima hasara.
Kasi ya upepo hua makadirio.
TUFANI ZILIZOVUNJA REKODI
Iliyouwa watu wengi zaidi.
mwaka wa 1989, tufani kubwa iligonga nchi ya Asia, Bangladeshi.
iliuwa watu 1,300 na kuumiza wengine 12,000
watu kama 80,000 waliachwa bila makao.
Iliyoua watu wengi Marekani.
Mwaka wa 1925, Tri-State Tornado ilitembea maili 219 na ilikuwa kwa arthi kwa masaa manne.
Ilianza Missouri, ikapita Illinois kusini, na kuingia Indiana.
Pia ilivunja rekodi ya Marekani kwa vifo vya watu 695 kusambabishwa na tufani moja.
Pia iko na rekodi ya tufani refu zaidi.
Iliyo ghali zaidi
Tufani kubwa iligonga Joplin, Missouri, mwaka wa 2011.
Watu zaidi ya mia moja walikufa, na zaidi ya elfu moja kujeruhiwa.
Nyumba kama elfu nane ziliharibiwa.
Gharama ya kutengeneza uharibifu ilikuwa karibu dola billioni tatu.
KUDURUSI TUFANI
Watu wengi hupenda kukaa mbali na tufani.
Lakini watu wanaosoma vibunga huenda karibu na tufani kuzidarusi.
Watu wanaosoma vibunga hutumia machine spesheli kupata habari kuhusu Tufani.
Wao hutamani kusoma iliwaweze kusaidia watu na nyumba wasikuwe hatarini wakati tufani zinakuja.
REPOTI YA HALI YA HEWA
Tufani huunda kwa haraka na mingi hukaa kwa muda uizozindi saa moja.
Kwa hivyo, wanasayansi wa hewa wahawezi tahadhalisha watu muda mrefu kabla ya tufani.
Wao huambia watu wakati radi iko karibu kutoa tufani.
Pia [...]
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Learn Swahili | SwahiliPod101.comBy SwahiliPod101.com

  • 4.4
  • 4.4
  • 4.4
  • 4.4
  • 4.4

4.4

39 ratings


More shows like Learn Swahili | SwahiliPod101.com

View all
This American Life by This American Life

This American Life

90,906 Listeners

Global News Podcast by BBC World Service

Global News Podcast

7,594 Listeners

The Read by Loud Speakers Network

The Read

27,361 Listeners

Learn Spanish | SpanishPod101.com by SpanishPod101.com

Learn Spanish | SpanishPod101.com

669 Listeners

Learn Italian | ItalianPod101.com by ItalianPod101.com

Learn Italian | ItalianPod101.com

421 Listeners

Learn Japanese | JapanesePod101.com (Audio) by JapanesePod101.com

Learn Japanese | JapanesePod101.com (Audio)

636 Listeners

Learn German | GermanPod101.com by GermanPod101.com

Learn German | GermanPod101.com

407 Listeners

Learn Korean | KoreanClass101.com by KoreanClass101.com

Learn Korean | KoreanClass101.com

283 Listeners

Learn French | FrenchPod101.com by FrenchPod101.com

Learn French | FrenchPod101.com

383 Listeners

Learn Arabic | ArabicPod101.com by ArabicPod101.com

Learn Arabic | ArabicPod101.com

164 Listeners

Learn Portuguese | PortuguesePod101.com by PortuguesePod101.com

Learn Portuguese | PortuguesePod101.com

119 Listeners

Learn English | EnglishClass101.com by EnglishClass101.com

Learn English | EnglishClass101.com

829 Listeners

Learn Dutch | DutchPod101.com by DutchPod101.com

Learn Dutch | DutchPod101.com

91 Listeners

Science Vs by Spotify Studios

Science Vs

12,220 Listeners

The Daily by The New York Times

The Daily

112,277 Listeners

Up First from NPR by NPR

Up First from NPR

56,530 Listeners

マユリカのうなげろりん!! by ラジオ関西

マユリカのうなげろりん!!

111 Listeners

What Now? with Trevor Noah by Trevor Noah

What Now? with Trevor Noah

4,225 Listeners

LSN: Swahili made easy ™ Podcast by Karen W. Stringer Ph.D.

LSN: Swahili made easy ™ Podcast

7 Listeners