Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
-----Swahili-----
----Main----
PAKA WAKUBWA
PAKA
Je, uko na paka?
Kama uko nayo, unafahamu kuwa ni wanyama wa nzuri waliona unyoya mzuri.
Wako na mwili zilizo na nguvu na wanaweza enda kwa haraka na kwa upesi.
Paka wote ni wala nyama.
Wanajua kuwinda na wako na meno na makucha kali.
Kuna aina kama arobaini wa paka wa musitu.
Huwa na ukubwa, rangi na ruwaza tofauti.
Paka huishi mahali kwingi duniani kote.
Hutoka mabara yote isipokuwa Australia na Antaktiki.
PAKA WAKUBWA, PAKA WADONGO
Tunaweza jua vipi paka kubwa na ndogo?
Paka ndogo wako na mfupa ambao hushikanisha ulimu na paa ya mdomo.
Kwa paka kubwa, hiyo sehemu ya mfupa inaweza jikunja.
Kwa hivyo, paka kubwa hunguruma lakini haziwezi koroma kama paka za nyumba.
Paka tatu ndani ya hii kitabu - duma, simba wa milimani na chui wa barafuni - wanaweza koroma lakini hawawezi nguruma.
Chui-wawingu hawawezi koroma ama kunguruma.
Wanasayansi mara nyingi kuweka hawa paka wanne pamoja na paka kubwa.
Wacha kusome ni nini hufanya kila paka kubwa spesheli.
CHUI-MILIA
Chui-milia ndio wakubwa zaidi na paka walio na nguvu zaidi.
Pia, ni kati ya wanyama walio maridani sana duniani.
Wako na miraba mikubwa nyeusi na unyoya mwekundu na rangi ya machungwa ambao huwatenga na wanyama wengine.
Aina mingi wa chui-milia walikuwa wanaishi sehemu mingi za Asia.
Siku hizi chui-milia husihi sehemu fulani lakini chache
Chui-milia wako hatarini - hatarini ya kupotea kabisa.
Kuna kama elfu tatu pekee ya chui-milia walio baki.
SIMBA
Simba ndio paka pekee wa kijamii.
Huishi kwa kundi huitwa kuburi.
Simba ni paka wa pekee ambao wanaweza ua wanyama wakubwa kuwaliko.
Wanaweza fanya hivi kwa sababu wao huwinda kwa kikundi.
Simba jike huwinda sana.
Siku za zamani simba waliishi Eropa, Asia na sehemu nyingi za Afrika.
Siku hizi wako tu sehemu za Afrika na misitu moja nchi ya Hindi.
Huishi kwa nyasi - upana, ulio na nyasi bila miti mingi.
JAGWA
Jagwa huishi mistuni.
Ndio paka kubwa pekee ambao huishi Marekani.
Huishi Mexiko na kati na kusini mwa Marekani.
Walikuwa wanaishi kusini-mashariki mwa Marekani, pia.
Madoadoa ya jagwa huitwa rosetti.
Rosetti hukaa kama mauwa madogo.
Ruwaza za unyoya wa jagwa huwasaidia kujifisha wanapowinda.
Chui na chui-theruji pia wako na rosetti.
PANTHA NYEUSI
Jagwa wengine ni weusi kabisa.
Huitwa patha nyeusi.
Pantha nyeusi wengine huishi Asia na Afrika pekee.
Ni chui nyeusi.
Aina wote wawili wa pantha weusi wako na madoadoa lakini ni ngumu kuziona.
CHUI
Chui huishi Afrika na kusini kwa Asia.
Huishi msituni, kwenye nyasi, na sehemu wazi iliyo na mawe mengi.
Chui hukaa kama jagwa, lakini ni mdogo na mweupe kwa mguu.
Chui sio kubwa kama jagwa.
Chui hukimbia kutoka kwa wanyama wakubwa, kama simba.
Jagwa hawakimbii kutoka kwa nyoka kubwa ama wanyama wengine.
Pia wanaweza shambulia.
DUMA
Kwa miguu yao mirefu na mwili mwembamba, duma waliumbwa wa kwenda kasi.
Ni wanyama wa duniani walio na kasi sana ulimwengu kote.
Duma wanaweza kimbia maili 60 kwa saa moja, kwa muda kidogo.
Duma hukaa tofatuti kuliko paka mwengine kwa sababu wako na mandoandoa nyeusi wala sio rosetti.
Pia wako na maki za machozi kwa uso zao.
Hapo zamani, duma waliishi Afrika kote na kusini-magharini mwa Asia.
Siku hizi huishi sehemu chache za Afrika mashariki na Afrika kusini.
SIMBA-MILIMA
Simba-milima huishi milimani, misitu, mbuga, bwawa, na pia jagwani.
Huishi kila mahali wanaweza pata chakula na mahali pa kujificha wanapowinda.
Simba-Milima huwinda asubuhi hadi jioni.
Hapo zamani simba-milima walikuwa wanaishi magharibi-kaskazini kwa Marekani, lakini sio kaskazini mwa Kanada.
Siku hizi hu [...]