Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
WANYAMA HULA NINI
Kwa nini hukula?
Wanyama wote lazima wakule ndio waishi
Chakula husaidia wanyama kuwa na nguvu na kuwa na afya
Chakula pia hupa wanyama nguvu ya kwenda
Wanyama hula aina mingi za chakula
Tunaweza panga wanyama kulingana na chakula wanazokula
WANYAMA WANAOKULA MIMEA
Wanyama wengi hula mimea
Hawa wanyama hula nyasi, majani, ama maua
Hula karanga, tunda na sehemu zingine za mmea
Wanyama wengine hula maganda
Panzi na wadudu wengine hula mimea pekee
Viwavi wengi hula mimea wanapokua
Wanapokuwa vipepeo, wao hunywa juisi kutoka kwa mimea
Nyuki pia hunywa juisi ya maua
Panya hula mbegu, mizizi, maganda na sehemu zingine za mimea.
Sungura na kobe hula nyasi, majani and sehemu zingine za mimea
Panda wakubwa kuwa majani ya bamboo
Manatees hula mimea inapomea majini
Wanyama walio na nyayo hula mimea
Farasi, punda milia, na ndovu hula mimea pekee
Mimea ni chakula cha pekee cha mbuzi, kondoo na ngamia.
WANYAMA WANAOKULA NYAMA
Wanyama wengine hula wanyama
Hawa wanyama hula nyama
Chakula chao huwa wadudu, samaki, ama wanyama wengine
Wanyama wanaokula nyama kutega ama hutafuta chakula chao.
Buibui hutengeneza mitendao kushika wadudu
Wanyama wanaokula wadudu huwa na ulimi mrefu
Wanyama wa majini hutafuta kaa na wadudu wengine wa majini.
Wanyama wanaokula nyama huwinda chakula
Vyula na popo hushika wadudu kukula
Penguini hushika and kula samaki na wanyama wengine wa majini
Simba na paka wakubwa kukimbiza, shika na kukula wanyama wanaokula mimea
Bundi na ndege wengine hushika panya, sungura na wanyama wengine kukula
Wanyama wala nyama wengine hula wanyama waliokufa
Wanao ni wanyama wanasafisha
Ndege wakubwa hula wanyama waliokufa
WANYAMA WANAOKULA MIMEA NA NYAMA
Wanyama wengine hula mimea na wanyama
Racconi hula matunda, karanga na nazi
Pia hula wadudu, chula, samaki, panya, na mayai
Nyani na nyani wakubwa hula mimea na wanyama pia
Nyani na nyani wakubwa huishi mahali mingi duniani kote
Mahali tofatuti huwa na aina mingi za chakula za wanyama
Bea weusi hula nazi, mbegu, nyasi na mimea zingine
Wao hula wadudu, samaki na wanyama wengine wandogo
Pia hula wanyama walio kufa, na hupenda asali
----Formal English----
WHAT ANIMALS EAT
WHY EAT?
All animals must eat to stay alive.
Food helps animals be strong and stay healthy.
Food also gives animals energy to move.
Animals eat many different kinds of food.
We can group animals by the kinds of food they eat.
PLANT EATERS
Many animals only eat plants.
These animals may eat grass, leaves, or flowers.
They may eat nuts, fruit, or other plant parts.
Some animals even eat bark!
Grasshoppers and some other insects only eat plants.
Many caterpillars eat plants while they are growing.
When they become butterflies, they drink the juice of flowers.
Bees also drink flower juice.
Mice eat seeds, fruit, roots, bark, and other plant parts.
Rabbits and land turtles eat grass, leaves, and other plants.
Giant pandas eat bamboo leaves.
Manatees eat plants that grow in water.
Most animals with hooves are plant eaters.
Horses, zebras, deer, and elephants only eat plants.
Plants are the only food of goats, sheep, and camels, too.
MEAT EATERS
Some animals eat other animals.
These animals eat meat.
Their food may be insects, fish, or any other animals.
Some meat eaters trap or gather their food.
Spiders make webs to catch insects.
Anteaters put their long tongues into anthills.
Sea otters gather crabs, sea stars, and other animals from seaweed forests.
Other meat eaters hunt their food.
Many frogs and bats catch insects to eat.
Penguins catch and e [...]