Learn Swahili | SwahiliPod101.com

Extensive Reading in Swahili for Intermediate Learners #4 - Symbols of the United States


Listen Later

Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Ishara za Marekani
Ishara za U.S
Marekani ni nchi kubwa na iko na ishara mingi
Ishara ni kitu inayosimamia kitu ingine
Bendera ya Marekani
Bendera ya Marekani ni ishara mihimu sana
Nyota husimamia mataifa hamsi
Mistari husimamia mataifa kumi na tatu wakati nchi ilipokuwa mpya
Bendera ya kwanza ilitengenezwa wakati Marekani ilikuwa nchi
Hiyo wakati bendera ilikuwa na nyota kumi na tatu.
Nyota ziliongezwa za mataifa mpya.
Bendera ya Marekani ilikuwa na nyota hamsini mwaka wa 1959
Tai wa Marekani
Tai wa Marekani ni ishara ya Marekani
Ndege huyu, ana nguvu, anapendeza na anaishi kwa muda mrefu.
ALAMA ZA MAREKANI
Marekani ina alama mingi maarufu.
Alama ni vitu, nyumba ama mahali muhimu.
Alama mingi huheshimu nyakati za kitambo za Marekani.
Amri ya Liberty hutaribisha watu kuingia Marekani kutoka nchi zingine.
Jina " Liberty" humaanisha uhuru
Watu wengi huenda Marekani kwa sababu ya uhuru.
Ishara ya Washington Monument huheshimu George Washington
Alikuwa raisi wa kwanza wa Marekani.
Ishara ya Washington Monument iko Washington D.C
Jiji hili ndio mji mkuu wa Marekani.
Ishara ya Lincoln Memorial huheshimu Abraham Lincoln.
Alikuwa raisi muda mrefu wakati wa vita za pili za dunia.
Pande mbili za Marekani vilipigana.
Raisi Lincoln hakukubali nchi ipasuke.
Raisi wa Marekani huishi katika White House.
Kila raisi ameishi huku isipokuwa George Washington.
Mikutano mingi muhimu imefanyika katika White House.
Liberty Bell ni kengele kubwa inayosimamia uhuru.
Kengere ililia wakati Marekani ilikuwa nchi huru.
Pia imelia nyakati muhimu za Marekani hapo zamani.
Hapo zamani, Marekani ilikuwa na nchi moja upande wa mashariki wa mto wa Mississipi.
Watu wengi walipitia hatari mingi walipoanza maisha upya sehemu za magharibi.
Ishara ya Gateway Arch ilitengenezwa kumkumbuka.
Mount Rushmore ni alama iliyoko upande moja wa mlima.
Vichwa vya raisi wa nne vimechongwa kwa hiyo jiwe.
Kila ishara imesimamia watu ama mawazo amabazo ni muhimu kwa wamarekani.
Je ni ishara gani ungetaka kusoma kuzihusu?
----Formal English----
SYMBOLS OF THE UNITED STATES
U.S. SYMBOLS
The United States is a big country with many symbols.
A symbol is a thing that stands for something else.
U.S. FLAG
The United States flag is an important symbol.
The stars stand for the fifty states.
The stripes stand for the thirteen states when the country was new.
The first U.S. flag was made when the United States became a country.
That flag only had thirteen stars.
Stars were added for new states.
The U.S. flag got fifty stars in 1959.
BALD EAGLE
The bald eagle is a symbol of the United States.
This strong, beautiful bird lives for a long time.
U.S. LANDMARKS
The United States has many famous landmarks.
Landmarks are important objects, buildings, or places.
Many U.S. landmarks honor times in America’s past.
The Statue of Liberty welcomes people to the United States from around the world.
The word liberty means freedom.
Many people have moved to the United States for freedom.
The Washington Monument honors George Washington.
He was the first president of the United States.
The Washington Monument is in Washington, D.C.
This city is the capital of the United States.
The Lincoln Memorial honors Abraham Lincoln.
He was president long ago during the Civil War.
Two parts of the United States fought against each other.
President Lincoln did not let the country break apart.
The president of the United States lives in the White House.
Every president but George Washington has lived there.
Many important meetings happen at the White House.
The Liberty [...]
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Learn Swahili | SwahiliPod101.comBy SwahiliPod101.com

  • 4.4
  • 4.4
  • 4.4
  • 4.4
  • 4.4

4.4

39 ratings


More shows like Learn Swahili | SwahiliPod101.com

View all
This American Life by This American Life

This American Life

90,906 Listeners

Global News Podcast by BBC World Service

Global News Podcast

7,594 Listeners

The Read by Loud Speakers Network

The Read

27,361 Listeners

Learn Spanish | SpanishPod101.com by SpanishPod101.com

Learn Spanish | SpanishPod101.com

669 Listeners

Learn Italian | ItalianPod101.com by ItalianPod101.com

Learn Italian | ItalianPod101.com

421 Listeners

Learn Japanese | JapanesePod101.com (Audio) by JapanesePod101.com

Learn Japanese | JapanesePod101.com (Audio)

636 Listeners

Learn German | GermanPod101.com by GermanPod101.com

Learn German | GermanPod101.com

407 Listeners

Learn Korean | KoreanClass101.com by KoreanClass101.com

Learn Korean | KoreanClass101.com

283 Listeners

Learn French | FrenchPod101.com by FrenchPod101.com

Learn French | FrenchPod101.com

383 Listeners

Learn Arabic | ArabicPod101.com by ArabicPod101.com

Learn Arabic | ArabicPod101.com

164 Listeners

Learn Portuguese | PortuguesePod101.com by PortuguesePod101.com

Learn Portuguese | PortuguesePod101.com

119 Listeners

Learn English | EnglishClass101.com by EnglishClass101.com

Learn English | EnglishClass101.com

829 Listeners

Learn Dutch | DutchPod101.com by DutchPod101.com

Learn Dutch | DutchPod101.com

91 Listeners

Science Vs by Spotify Studios

Science Vs

12,220 Listeners

The Daily by The New York Times

The Daily

112,277 Listeners

Up First from NPR by NPR

Up First from NPR

56,530 Listeners

マユリカのうなげろりん!! by ラジオ関西

マユリカのうなげろりん!!

111 Listeners

What Now? with Trevor Noah by Trevor Noah

What Now? with Trevor Noah

4,225 Listeners

LSN: Swahili made easy ™ Podcast by Karen W. Stringer Ph.D.

LSN: Swahili made easy ™ Podcast

7 Listeners