Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Hii ni podcast number 1 Tanzania inayozungumzia biashara ya forex kiundani, BIASHARA ambayo imefichwa kwa watu wachache na mabenki... more
FAQs about FradoFx Podcast:How many episodes does FradoFx Podcast have?The podcast currently has 18 episodes available.
December 30, 2022#12 : Utaratibu wa kujifunza biashara ya forex na kuielewaJe unataka kufaidika kupitia biashara hii kubwa zaidi duniani ?Karibu katika Darasa letu PIGA 0754958520...more6minPlay
October 29, 202211: Je indicators zinaweza kukusaidia kutengeneza faida katika forex ?Indicators ni moja ya vitu ambavyo vinachanganya sana katika forex,katika episode hii tutakupa mbinu sahihi kuhusu indicators...more10minPlay
October 28, 2022#10: Ipi ni strategy bora zaidi katika forexNajua wote tunapenda kutengeza pesa katika forex, lakini changamoto kubwa ni kubadili strategy kila siku, Sikiliza episode hii yote na utajifunza kitu kikubwa sana...more7minPlay
October 28, 2022#9: Mbinu 4 za kufahamu forex harakaIlinichukua zaidi ya mwaka katika forex kuwithdraw faida ya mara ya kwanza, hii ni kwasababu sikufaham mbinu za kujifunza na kuelewa kwa haraka, Usiwe kama mimi jifunze katika episode hii, WhatsApp 0754958520...more6minPlay
October 24, 2022#8: Makosa 5 yanayofanywa na traders wengiHivi unajua kuwa kuna baadhi ya makosa madogo madogo ambayo yanaweza kukuangusha katika biashara hii , usirudi nyuma tena sikiliza episode hii tena na tena...more10minPlay
October 24, 2022#7 : Siri 3 kubwa ili kufanikiwa katika biashara ya forexPengine una zaidi ya mwaka mzima katika biashara hii lakini hauoni faida yoyote,katika episode hii nimeandaa siri 3 kubwa ambazo zitakutia moyo lkn pia kukufundisha zaidi na kutoka katika shimo hilo...more7minPlay
October 23, 2022#6: Jinsi ya kufungua account | vigezo vya kufungua account |verificationJe unafahamu kuwa kuna mambo ya msingi kabla hujafungua account ya forex ? Twende sawa katika episode hii ya 6 kujifunza zaidi...more5minPlay
October 23, 2022#5 : Sifa za broker mzuriBroker akiwa ni sehemu ya muhimu katika biashara hii ni vyema kufahamu ni namna gani unaweza kufahamu kama broker ni mzuri au laah...more5minPlay
October 23, 2022#4: Maana ya broker | Mifano ya brokers | Historia ya brokerageBroker ni kampuni ambazo zinatuwezesha kuweza kushiriki katika soko la forex, bila broker hatuwezi kufanya forex,Nimeelezea wazi namna ya kuwapata brokers hawa na kujiunga katika forex...more4minPlay
October 23, 2022#3 : Mambo 3 ya kufahamu kabla hujaanza forexMambo 3 ya msingi kabla hujaanza forex ,Hakikisha unasikiliza episode hii na utanishukuru sana...more5minPlay
FAQs about FradoFx Podcast:How many episodes does FradoFx Podcast have?The podcast currently has 18 episodes available.