Gumzo na Mwanaspoti

Gumzo na Mwanaspoti Podcast; Magari ya hybrid ya safari rally hayauzwi


Listen Later

Magari ya hybrid ambayo kwa mara ya kwanza yalitumika katika mashindano ya dunia ya uendeshaji magari hayauzwi ila yanatengezwa tu kwa ajili ya mashindano.
Abdul Sidi ambaye alikuwa dereva vilevile msaidizi yaani navigator anasema magari ya hybrid yametengezwa na teknolojia ya juu zaidi na kwamba mtu wa kawaida haruhusiwi kuendesha.
Sidi amezungumza na mwanahabari wetu, Walter Kinjo kuhusu teknolojia hii ya magari ya safari rally ya hybrid.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Gumzo na MwanaspotiBy The Standard Group PLC