Je unafahamu maana ya Sinking Fund? Unajua jinsi ya kutengeneza Sinking Fund? Ungana nami leo nikikueleza kwa kina!. Hii ni Generational Wealth with Fayness Sichalwe. For more Details follow: https://instagram.com/personalfinancehubtz Host: https://instagram.com/faynessssichalwe