Generational Wealth With Fayness Sichalwe

#GWP15: Kwanini Ufuatilie Networth Yako


Listen Later

Je ni kweli kufuatilia networth yako inabidi uwe na fedha nyingi? Nini maana ya networth? Ndani ya episode hii nimekupa sababu kwanini ufuatilie networth yako!!
Register & purchase Intentional budget planner here: https://bit.ly/41MaM0z
Hii ni Generational Wealth with Fayness Sichalwe
Usisahau kuipa 5 star podcast hii na kuacha review kama umepata kitu ndani ya podcast hii
For more Details follow:
Personal Finance Hub Tanzania 👇🏼
https://instagram.com/personalfinancehubtz
Fayness Sichalwe 👇🏼
Host: https://instagram.com/faynessssichalwe
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Generational Wealth With Fayness SichalweBy Fayness Sichalwe