Mara nyingi huwa tunahamasa ya ya kupanga malengo na kutimiza Malengo kila mwanzo wa mwaka unapoanza,lakini cha kushangaza ni asilimi 5% tu ya watu hufikia malengo hayo.Episode hii Host wako Fayness Sichalwe anaelezea Point kumi zitakazokusaidia kufikia malengo yako ya kifedha 2023.