
Sign up to save your podcasts
Or


Wakati pale mvua inyeshapo, kwa wale waliopuzika nyumbani, mida ya baada ya chakula cha mchana, mvua kama hii wasikiapo sauti yake pale inyeshapo huwa inawapatia usingizi mnono wa mapumzika ya machofu ya siku nzima, ila inapendeza pale inyeshapo usiku wakati wa kulala.
By Abubakar AbdullaWakati pale mvua inyeshapo, kwa wale waliopuzika nyumbani, mida ya baada ya chakula cha mchana, mvua kama hii wasikiapo sauti yake pale inyeshapo huwa inawapatia usingizi mnono wa mapumzika ya machofu ya siku nzima, ila inapendeza pale inyeshapo usiku wakati wa kulala.