Wanasema adui wa mtu ni wa nyumbani kwake,na historia imekuwa ikijirudia tukiona maumivu makubwa yakisababishwa na watu tuliowaamini na tuliowapenda! Je,tusitengeneze urafiki na watu au tusipende watu kwa vile watatuumiza???...Ungana nami kwenye episode hii kujua nini cha kufanya ili uwe salama.