Hapa utapewa personalized advice kulingana na biashara au bidhaa yako
01. Mteja atapata muda usiopungua dakika 30:00 hadi 59:00 kuzungumza na mtaalam.
02. Utashauriwa kuhusu namna bora ya kukuza biashara yako kupitia mitandao ya kijamii
03. Utashauriwa kuhusu namna bora ya kutangaza kupitia google ads na YouTube.
04. Utashauriwa kuhusu namna ya kupost automatic bila usumbufu Yaan mara moja tu kisha post zitajipost zenyewe wiki nzima.
05. Kuonana na mimi ana kwa ana utangaramia usafiri kufika ulipo.