Ni kawaida ya binadamu kuhukumu watu wengine kwa mambo wasiyoyajua vema. Lakini je! Umewahi kujiuliza? Hukumu yako ni ya haki? Je! Wajua hata Musa hakuweza kuhukumu kwa haki? Sikiliza kisa hiki