Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Mark: Mable, unawezakunisaidia kutengeneza intaneti yangu?
Mable: Ni nini mbaya nayo?
Mark: Nilinunua Wi-Fi, lakini kompyuta yangu halishiki intaneti.
Mable: Angalia anwani ya IP uliyopewa uliponunua Wi-Fi.
Mark: Nitafanyaje hivyo?
Mable: Washa WI-FI yako, kisha ubonyeze WAN. Anwani ya IP utajitokeza wenyewe.
Mark: Hapo ndipo mwisho?
Mable: Tafuta IP hii katika alama ya miungo iliopo chini na upande wa kulia ya kompyuta yako.
Mark: Nimefanya hivyo.
Mable: Ingiza nywila kwa nafasi iliopo kisha ubonyeze alama ya OK.
Mark: Intaneti imejitokeza!
----Formal English----
Mark: Hi Mable, can you help me fix my Internet?
Mable: What's wrong with it?
Mark: I bought a Wi-Fi router, but my computer does not connect to the Internet.
Mable: Check for the IP address you were given when you bought the Wi-Fi router.
Mark: How do I do that?
Mable: Switch on the Wi-Fi router, then click WAN. The IP address will appear by itself.
Mark: Is that the end?
Mable: Look for this address on the network icon seen at the right side of your computer.
Mark: I have done so.
Mable: Enter the password in the space given and press OK.
Mark: The Internet has shown itself!
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!