Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Victor: Ewe Maria, unaandika nini katika dhana yako ya utafiti?
Maria: Jambo kuhusu vile Japani inavyopunguza hatari inayosababishwa na mafaa asilia.
Victor: Mada nzuri sana. Dhanio lako ni lipi?
Maria: Linasema, kwavile Japani inaongoza kwa kupunguza athari ya mabaa, ni heri nchi zingine ziiige.
Victor: Nadhani dhana yako ni nzuri lakini unadai badala ya kuthibitisha.
Maria: Ala! Sikuwazia suala jambo hilo.
Victor: Ni utafiti hivyo basi unapaswa kuthibitisha.
Maria: Unadhania nifanyenini?
Victor: Unaweza kuibadilisha iwe swali.
Maria: Je ikiwa, nchi zingine zinaweza kujifunza nini kutokana na jinsi Japani inavyopunguza athari ya maafa asili?
Victor: Afadhali. Sasa unaweza kuthibitisha.
Maria: Nivyema kufikiri pamoja. Asante.
Victor: Furaha yangu.
----Formal English----
Victor: Hey, Maria. What are you writing for your research proposal?
Maria: Something about Japan's disaster mitigation strategies.
Victor: Sounds great. What's your hypothesis?
Maria: I'm saying Japan is ahead in reducing disaster risks. Other countries should emulate them.
Victor: I think you have a great topic, but you are making a claim instead of proving it.
Maria: Hmmm, I didn’t think about that.
Victor: It's a hypothesis, so you need to prove it.
Maria: What do you think I should do?
Victor: You can change it to a question.
Maria: Yes, are there lessons other countries can learn from Japan's disaster mitigation strategies?
Victor: Sounds better. Now you can prove it.
Maria: It's good to brainstorm together. Thanks.
Victor: My pleasure.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!