Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Victor: Nafikiria itanibidi niende kwa masomo zaidi.
Rehema: Wazo njema. Je, kazi nayo?
Victor: Sitafanya kazi hadi nimalize kusomo.
Rehema: Nadhani umelipa wazo jambo hilo.
Victor: Kwa kweli, ninawasiwasi kuwa nitatumia hakiba yangu yote.
Rehema: Sinahakika kama unaweza pata udhamini wa masomo lakini siujaribu kutafuta?
Victor: Tayari nilijiandikisha lakini sikufanikiwa.
Rehema: Mbona usijaribu masomo ya mbali? Unaweza soma huku ukifanya kazi.
Victor: Nijambo nitalofikiri kuhusu.
Rehema: Tafadhali, chukua muda wako.
Victor: Asante kunisaidia kufikiri kuhusu suala hili.
Rehema: Karibu.
----Formal English----
Victor: I think I might be forced to go for further studies.
Rehema: Sounds great. How about work?
Victor: I will not work until after the studies.
Rehema: I guess you must have thought about it.
Victor: Actually, I'm worried I might end up using all my savings.
Rehema: I'm not quite sure if you can get a scholarship, but won't you try and search?
Victor: I already applied, but it didn’t go through.
Rehema: Why not try distance learning? You could work while you study.
Victor: It might be something I'll have to think about.
Rehema: Please, take your time.
Victor: Thanks for helping me think through this issue.
Rehema: My pleasure.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!