Story za Siku
- Jay Z na Beyonce wamenunua eneo kubwa la kifahari
- J Cole ametangaza kuachia album yake mpya ya "The Fall Off"
- YouTube itaweka matangazo ya sekunde 30 na kubadilisha mfumo wake wa matangazo
- Meta inatengeneza app ambayo itakuwa kama Twitter
- ChatGPT imeanza kupatikana kama App kwa watumiaji wa iPhone (iOS)
- Twitter imeweka Voice Messages kwenye DM
- App ya Adobe imeweka Firefly Video Editor
- Auto-caption kwenye CupCut