TCRA Tanzania

Jamii Yetu: Zanzibar - Mawasiliano na Maendeleo ya Kilimo


Listen Later

Mawasiliano huleta faida mbalimbali katika maisha ya kila siku. Kipindi hiki kinaelezea yaliyojiri katika kilimo cha karafuu na namna mawasiliano huchochea kilimo hiki katika kisiwa cha Zanzibar.

Kwa maoni na mapendekezo, tafadhali wasiliana nasi kupitia 0800008272 au tuandikie [email protected]

#NiRahisiSana!

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

TCRA TanzaniaBy Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)