DAKA CODE

Jay Z amejiunga na kujitoa Instagram ndani ya Saa 24 | Instagram na Twitter zimeanza kumaliza bifu ugomvi wao uliodumu kwa miaka 9


Listen Later

Story za Siku
- Jay Z amejiunga na kujitoa Instagram ndani ya masaa 24
- Will Smith alitaka kumuua baba yake
- Wiz Kid na Tems wamefika kwenye tuzo za SOULTRAIN
- Miaka ijayo iPhone na Apple Watch zitakuwa na uwezo wa kutambua kama umepata ajali
- Facebook inaondoa mfumo wake wa kutambua sura za picha na video
- Uhaba wa Semi-conductors unazipa hasara kampuni za Tech
- Instagram na twitter Zimeanza kumaliza bifu ugomvi wao uliodumu kwa miaka 9
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

DAKA CODEBy John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy