
Sign up to save your podcasts
Or


Jibu ni msichana msomi mwenye umri wa miaka 20 anayeishi mjini na baba yake, baada ya kutengana kwa wazazi wake. Akiwa na ajenda yake ya siri, mama Jibu anajifanya mgonjwa, na kumwita Jibu kwenda kijijini.
By Angela BeilyJibu ni msichana msomi mwenye umri wa miaka 20 anayeishi mjini na baba yake, baada ya kutengana kwa wazazi wake. Akiwa na ajenda yake ya siri, mama Jibu anajifanya mgonjwa, na kumwita Jibu kwenda kijijini.