Jibu ni msichana msomi mwenye umri wa miaka 20 anayeishi mjini na baba yake baada ya kutengana kwa wazazi wake. Akiwa na ajenda yake ya siri, mama Jibu anajifanya mgonjwa, na kumwita Jibu kwenda kijijini mara moja.