Pastor Fred Msungu

Jina lako nani (Sehemu ya kwanza)


Listen Later

SHERIA YA KUTAMKA KWENYE ULIMWENGU WA ROHO ( Part 1 ) Ukisoma kitabu cha Mwanzo sura ya kwanza , ndiyo sura ya uumbaji, lakini katika mchakato wote wa uumbaji utagundua kuna kitu kimetokea ambacho ndicho kilisababisha matokeo. Kitu hicho ni lile tamko la Mungu “ MUNGU AKASEMA ..” Neno hili , kwenye sura ya kwanza pekee limeandikwa mara 11 . Hii inaonesha kwamba kwenye ulimwengu wa roho kanuni ya uumbaji ipo kwenye maneno. Ndiyo maana ninakuombea kupitia somo hili, Roho wa Mungu akufunue zaidi ili uwe mtu utakayetumia maneno yako kwa uelewa wa ki - Mungu

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Pastor Fred MsunguBy Pastor Fredy Msungu