MATUMAINI PROG 1501TITLE: JINSI IMANI INAVYOFANYA KAZITEXT: WAGALATIA 3:1-5Hujambo. Karibu tujifunze pamoja kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 3:1-5 jinsi Imani hufanya kazi. Jiana langu ni David mungai, wimbo alfu tuendeleeWIMBONaam karibu tena. Baadhi yetu hufikiria ya kwamba Imani yetu ni kikwazo wengine hufikiria na kuwaza waza kuwa Imani ni hali ya akili tu lakini […]