Sign up to save your podcasts
Or

SOMO: Kaburi Halitoshi Kumzuia Mungu – Ufufuo kwa Kizazi Kilichochoka
📖 Luka 24:5b–6a (AMP Kiswahili) "Mbona mnamtafuta aliye hai kati ya wafu? Hayuko hapa, bali amefufuka."
Katika kipindi hiki cha kipekee, tunachambua kauli ya malaika kama sauti ya mbinguni kwa kizazi kilichozikwa na historia, aibu, na vifungo vya kiroho. Malaika hakutoa swali la dhihaka—aliuliza swali la ufunuo: Kwa nini unamtafuta aliye hai kati ya wafu?
Ni somo la kutikisa mizizi ya dini, kuvunja minyororo ya huzuni ya zamani, na kuamsha watu waliokata tamaa kuwa Yesu hayuko tena kaburini—wala wewe hupaswi kubaki hapo!
🎧 Katika episode hii utagundua:
Ikiwa umewahi kutangazwa “umemalizika,” usikose somo hili. Sikiliza sasa. Tazama sasa. Na tangaza na imani:
“Yesu yupo hai, na mimi pia nimefufuka!
🕊️ Subscribe, share, and stand up—kaburi halina mamlaka juu yako tena!
By Pastor GSOMO: Kaburi Halitoshi Kumzuia Mungu – Ufufuo kwa Kizazi Kilichochoka