Kamala Harris anafaa Kupambana na Donald Trump?

Kamala Harris atafaa Kupambana na Trump?/Biden Bado Hajiwezi


Listen Later

Kumekuwa na maswali mengi sana kwa watu kuelekea uchaguzi mkuu nchini Marekani ambapo baadhi ya watu wanaamini kuwa Donald Trump atapata urahisi wa kushinda kiti cha Urais endapo atapambana na Joe Biden huku wengine wakipendeza kuwa Joe Biden anapaswa kumuachia Kijiti Makamo wa Rais Kamala Harris ili afanikishe kuzifuta ndoto za Trump kurudi kuitumikia Ikulu ya Marekani

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Kamala Harris anafaa Kupambana na Donald Trump?By RICK MEDIA