Story za leo:
- Kanye West amesajili DONDA katika brand za vifaa vya Electronic
- Drake na The Weeknd kutengenezewa somo lao nchini Canada
- WhatsApp inaweka mabadiliko katika Voice Messages
- FaceID katika iPhone 13 itakuwa inaweza kufanya kazi endapo kioo kitabadilishwa
- Clubhouse inaweka sehemu ya kurekodi mazungumzo
- App inayotumia kamera kufanya hesabu
- Ku-edit picha kwenye WhatsApp