Story za Siku:
- Burna Boy anafanya maandalizi ya kutoa kolabo na Beyonce
- Kanye West amezuiliwa kutumia Twitter
- WhatsApp inafanya majaribio ya kuwezesha watumiaji 1025 kukaa kwenye Group la pamoja
- WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuweka huduma za kulipia katika WhatsApp Business
- iPhone 5c mwisho wake ni mwezi ujao