Story za Siku
- Kanye West hajatoa Album yake, itaanza kupatikana katika Pre-Order
- Nas ametoa album mpya ya King's Disease II
- Kwa mara ya kwanza Xiaomi inaongoza katika mauzo ya simu Duniani
- Apple inaweka mfumo wa kuzuia picha chafu
Shukran sana kwa wale ambao wanasikiliza Podcast yetu. Have a blessed Friday!!!
Much Love !!!