KaBrazen

Ketty Nivyabandi | Kiswahili


Listen Later

Ndoto zinazomezwa, rangi zinazotoweka na mpango bora kabisa!

Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua juu ya msichana anayeota kwa sauti. Katika ulimwengu ambapo ndoto za watu zinamezwa na kinyonga mlafi, Ketty kwa ujasiri, anawaonyesha watu wake wa Burudi umuhimu wa kuendelea kuota! Ketty anatukumbusha , ndoto zenu ni muhimu sana , kwa hivyo usimruhusu mtu yeyote akuzuie kuota!

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

KaBrazenBy The LAM Sisterhood