Story za Siku:
- Kifo cha Michael K. Williams
- Diddy ametoa maoni yake kuhusu Album ya Drake na Album ya Kanye West
- El Salvador imethibitisha kuanza kutumia Bitcoin kama fedha halali ya malipo
- TikTok imezidi kuipita YouTube kwa kuwa na watu wengi wanaotumia muda mwingi kutazama videos
- MagSafe Charger mpya
- Fahamu kuhusu Megapixel za kamera
- Ukipiga picha na watu wengi unaonekana vizuri kuliko picha ya peke yako