Kirusi cha Omricon au ni Mafua ya kawaida & diamond platinumz
Wengi wamekuwa wakisema tu ni mabadiliko ya hali ya hewa lakini wanasayansi wanasema ni covid, ukweli ni upi. Diamond nae ameachia ngoma yake, amesemwa sana mitamdaoni lakini ngoma inafanya vyema