Gian na Siafu

Kisa cha Gian na Siafu


Listen Later

Gian hakuwahi kuona wala kuwasikia wadudu siafu. Siku moja aliwachokoza Siafu walio kwenye msafara na wao wakampa joto ya jiwe. Gian amekoma hachezei tena wadudu, na pia amepata kufahamu kisa cha Siafu na Mchwa.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Gian na SiafuBy Mwamwingila G.P