Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Kiswahili Kitukuzwe:How many episodes does Kiswahili Kitukuzwe have?The podcast currently has 14 episodes available.
February 04, 2023MahusianoLeo tumejiunga na gwiji wa Kiswahili, mwalimu Mariana Kweyu kujadili Mahusiano kwenye maisha ya binadamu.Mariana pia ana idhaa ya Kiswahili pale YouTube. Unawezakujifunza zaidi kutoka kwake kupitia https://www.youtube.com/@swahiliwithmariana2246...more20minPlay
February 04, 2023Maana na Dhima ya FasihiMwalimu James Muhatia aeleza kiundani kuhusu maana na dhima ya Fasihi. Kupitia kipindi hiki, utaipata fursa ya kujua maana ya Sanaa. Kwa maelezo zaidi kuhusu Fasihi na masomo ya Kiswahili, mwandikie mwalimu Muhatia kupitia [email protected]....more10minPlay
November 02, 2022Mwongozo wa tamthilia ya Bembea ya MaishaJames A. Muhatia atueleza kwa mukhtasari mwongozo aliouchapisha kuhusu tamthilia ya Bembea ya Maisha (Timothy Arege, 2022). Kwa maelezo zaidi, mwandikie James barua pepe kupitia [email protected]....more14minPlay
October 16, 2022Tofauti kwenye Vizazi (Generational Differences)Je, kuna tafauti zipi kwenye vizazi tofauti? Tabia zipi kwenye vizazi tafauti zinakukera? Tujadili... #vizazi #tabia...more9minPlay
August 26, 2022Chimbuko la KiswahiliJe, Kiswahili kina umaarufu gani? Gwiji wetu wa Kiswahili Bw. Edward Ombui Mogusu anaeleza zaidi...more3minPlay
August 23, 2022Chimbuko la KiswahiliJe, Kiswahili kina asili gani? Kiswahili kilianza kutumika wapi? Sikiza kwa maelezo zaidi...more3minPlay
August 21, 2022Chimbuko la kiswahiliEndelezo la mazungumzo kuhusu chimbuko la kiswahili...more3minPlay
June 13, 2022Chimbuko la Kiswahili (Endelezo)Katika kipindi hiki tunaangazia endelezo la chimbuko la Kiswahili inavyoelezwa na gwiji wetu Bw. Edward Mogusu....more5minPlay
June 12, 2022Chimbuko la Kiswahili (Utangulizi)Today we have been joined by a Swahili expert Mr. Edward Mogusu to examine the origin of Swahili language....more6minPlay
FAQs about Kiswahili Kitukuzwe:How many episodes does Kiswahili Kitukuzwe have?The podcast currently has 14 episodes available.