Uchumi na Biashara

Kiwango cha chini cha nyongeza ya mshahara: Uhuru


Listen Later

Je, tangazo la Rais Kenyatta kuhusu asimilia 12 ya nyongeza ya mshahara wa chini kwa wafanyakazi, linamaanisha nini?
Na je, ni wafanyakazi gani hasa watakanufaika kutokana na agizo hili ambalo limetakiwa kutekelezwa kuanzi mwezi huu?
Jinsi anavyoarifu Victor Mulama, ni wafanyakazi wa viwango vya chini pekee ndio watakaoathirika, na licha ya hayo nyongeza ya mshahara itatozwa kodi.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Uchumi na BiasharaBy Standard Media