
Sign up to save your podcasts
Or


Kuweka tumaini letu lote kwake kwa moyo wa imani bila hofu wala mashaka. Kutambua kwamba nguvu, hekima, na msaada wa kweli hutoka kwake yeye peke yake. Katika kila hali, iwe ya furaha au changamoto, tunajifunza kusimama imara tukijua hatatuacha wala kututupa. Hili hujenga amani ya ndani na hutupa ujasiri wa kuendelea mbele bila kukata tamaa.
Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give
By Pastor Neema Tony OsbornKuweka tumaini letu lote kwake kwa moyo wa imani bila hofu wala mashaka. Kutambua kwamba nguvu, hekima, na msaada wa kweli hutoka kwake yeye peke yake. Katika kila hali, iwe ya furaha au changamoto, tunajifunza kusimama imara tukijua hatatuacha wala kututupa. Hili hujenga amani ya ndani na hutupa ujasiri wa kuendelea mbele bila kukata tamaa.
Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give