Story za Siku:
- Kundi la Sauti Sol limetangaza kuwa litatengana baada ya Tour
- Mwanamke wa Kwanza kutoka nje ya Dunia
- Samsung imekubali kutumia search engine ya Google kwenye simu zake
- Instagram ilikuwa haipatikani
- Instagram inatengeneza app ambayo itakuwa inafanana na app ya Twitter
- WhatsApp itaweka sehemu ya ku-edit message
- Fahamu apps 5 ambazo unaweza kutumia na kamera ya simu yako
Shukran kwa wafuatiliaji wote, usisahau ku-follow au Subscribe podcast yetu.
Bless up sana.