Biblia Inasema Usiogope

Kuwa Hodari Katika Neema


Listen Later

Unapokuwa katika wito wako, katika kazi ambayo Bwana amekuita ukaifanye, mambo huwa siyo marahisi. Kazi huweza kuwa ngumu tena zenye kuhatarisha maisha. Mara nyingine, kama ni kazi ambayo kulikuwa na mtangulizi kabla yako unakuta yule mtangulizi anaonekana bora kuliko wewe mara mia moja. Lakini kama ni wito wako, ni kazi ambayo Mungu anataka uifanye basi ni neema tu wala siyo kutokana na ubora wowote kwa upande wako. Hivyo muamini aliyekuita katika kazi hiyo, Mungu Mwenyezi. Uwe hodari katika neema. Usiogope.


...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri