Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kupitia vipindi vyetu tunajaribu kuwahamasisha vijana wa Afrika kuhusu elimu ya jamii. Inasaidia kuyafanya maisha yao kuwa rahisi.... more
FAQs about Learning by Ear – Elimu ya Jamii:How many episodes does Learning by Ear – Elimu ya Jamii have?The podcast currently has 41 episodes available.
August 12, 2013Ardhi ya Ahadi – Hadithi ya Uhamiaji wa Waafrika barani UlayaHuku Farahani na Sule wakiota kuwa na maisha bora Ulaya, mwanafunzi Linda tayari yuko njiani kuelekea huko. Mchezo huu unalinganisha ndoto za vijana wa Kiafrika za kusoma na kufanya kazi Ulaya na hali halisi ya mambo....more12minPlay
August 06, 2013Haki za binaadamu ni za watu wote lakini...Kila binaadamu hapa duniani ana haki ya uhuru na usawa - kwa mujibu wa azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binaadamu. Lakini katika mataifa mengi barani Afrika, utakuta haki hizi zinaendelea kukanyagwa na kukiukwa....more12minPlay
March 16, 2011Kazi –Kipindi 8 – MwanamuzikiKatika kipindi hiki, tutageuka na kuangazia sekta ya muziki na kupata nafasi ya kumfahamu Chimere Emejuobi, mwimbaji kutoka Lagos. Muziki ni muhimu sana katika jamii nchini Nigeria....more10minPlay
March 16, 2011Kazi – Kipindi 7 – Vijana wasio na ajiraHatutazungumzia juu ya taaluma fulani, lakini ni juu ya wale wote ambao hawana ajira. Idadi ya wasio na ajira hususan miongoni mwa vijana imeongezeka sana barani Afrika. Kila kijana mmoja kati ya watano hana ajira....more10minPlay
March 16, 2011Kazi – Kipindi 6 – Kazi za sekta isiyorasmiKatika mji mkuu wa Kenya, tunakutana na watu wanaofanya shughuli zao ambazo ziko nje ya sekta rasmi ya uchumi. Wanashughulika kinyume na sheria bila ya kuwa na elimu stahiki, mfano biashara ya kiwango cha rejareja....more11minPlay
March 16, 2011Kazi – Kipindi 5 – MwalimuTutaiangazia sekta ya elimu huko Lagos Nigeria. Kwa jumla waalimu hulipwa mshahara mdogo. Lakini kwa baadhi yao, la muhimu ni hamasa ya kufundisha na hamu ya kuwapatia ufahamu wanafunzi wao....more10minPlay
March 16, 2011Kazi – Kipindi 4 – Meneja wa HoteliKatika kipindi hiki tutapata nafasi ya kumfahamu kijana mmoja nchini Uganda ambaye ni meneja wa hoteli. Je kuna ugumu gani wa kufanya kazi ya umeneja wa hoteli katika nchi zinazoendelea kama Uganda?...more10minPlay
March 16, 2011Kazi – Kipindi 3 –Mtaalamu wa Teknolojia ya HabariMtandao wa Intaneti ni lango kuu la kujiunga na jamii duniani. Hata hivyo bado watu wengi hawana uwezo wa kuitumia. Wafanyakazi katika sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wanajaribu kulibadilisha suala hili....more11minPlay
March 16, 2011Kazi –Kipindi 2 – Fundi magariKuna taaluma ambazo zinachukuliwa kuwa ni za wanaume tu. Ni wanawake wangapi wanaoweza kurekebisha magari au pikipiki? Estelle Christian Ouedraogo, kutoka Burkina Faso, ni miongoni mwao. Tujiunge naye!...more10minPlay
March 16, 2011Kazi – Kipindi 1 – NesiKatika mfulululizo huu, tutakutambulisha kwa vijana wa kiafrika wenye taaluma mbalimbali, na kukupatia undani wa shughuli zao. Kwanza tutapata nafasi ya kumfahamu Judith ambaye ni nesi katika hospitali huko nchini Kenya....more10minPlay
FAQs about Learning by Ear – Elimu ya Jamii:How many episodes does Learning by Ear – Elimu ya Jamii have?The podcast currently has 41 episodes available.