
Sign up to save your podcasts
Or


Maisha ya kila siku yanataka mahusiano ya kweli na halisia, kikwazo ambacho kina wanyima watu wengi kufurahia mahusiano mbalimbali ni HOFU. Hofu ya kuwa "Dissapointed", ndio maana katika Epidode ya Pili ya "Let them Dissapoint You" niligusia kwamba waache watu wakuvunje moyo. Ila kwenye muendelezo wa Epidode 3 nitakuambia kwanini unafurahia zaidi Quality Relationships if you Let People Be Real with you and You with them.
By LinnetMaisha ya kila siku yanataka mahusiano ya kweli na halisia, kikwazo ambacho kina wanyima watu wengi kufurahia mahusiano mbalimbali ni HOFU. Hofu ya kuwa "Dissapointed", ndio maana katika Epidode ya Pili ya "Let them Dissapoint You" niligusia kwamba waache watu wakuvunje moyo. Ila kwenye muendelezo wa Epidode 3 nitakuambia kwanini unafurahia zaidi Quality Relationships if you Let People Be Real with you and You with them.