Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen amedai kuwa maandamano ya Jumatano hayakuwa ya ghafla bali yalipangwa kwa makusudi na baadhi ya viongozi. Kauli yake imezua hisia kali huku wananchi wakitaka kufahamu waliopanga na kwa nini. Skiza Habari Zinginezo ndani ya Wamuzi Radio na Felix. #news #latestnews #wamuziradio #breakingnews #politics #maandamano