Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia: 10/3 JP4 Kwaresima || Neema ya Mbinguni


Listen Later

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.

Wiki hii ya Jumapili tarehe 10/3 ni Jumapili ya 4 wakati wa Kwaresima, ukurasa 91 katika kitabu cha sala.

Kwenye hiyo sehemu ya pili, tunafundisha wazo kuu la siku, neema ya mbinguni. Ni suala muhimu sana kwa maisha yetu na wokovu bali haieleweki vizuri katika kanisa la leo. Tunafundisha wazo la neema katika wokovu na maisha kwa mujibu wa Biblia.

Katika sehemu ya kwanza iliyotangulia tunatoa mafundisho katika Yohana 3:14–21 na katika sehemu ya tatu tutafundisha Waefeso 2:1–10 na kusema kidogo katika Zaburi 137 na 2 Nyakati 36.

Karibu!



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa