Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia: 10/3 JP4 Kwaresima || Waefeso 2:1–10


Listen Later

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.

Wiki hii ya Jumapili tarehe 10/3 ni Jumapili ya 4 wakati wa Kwaresima, ukurasa 91 katika kitabu cha sala.

Kwenye hiyo sehemu ya tatu tunafafanua kifungu cha Waefeso 2:1–10 na kufundisha mambo ya kuokolewa kwa neema yaliyoandikwa humo na hasa kufikiria ina maana gani kuokolewa mara moja kwa milele kwa vile Mungu alituumba mpya na kutuketisha pamoja na Yesu mbinguni tayari.

Sehemu ya kwanza tulifundisha Yohana 3:14–21, na sehemu ya pili tulifundisha jambo la neema ya mbinguni.

Karibu!



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa