Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia: 10/3 JP4 Kwaresima || Yohana 3:14–21


Listen Later

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.

Wiki hii ya Jumapili tarehe 10/3 ni Jumapili ya 4 wakati wa Kwaresima, ukurasa 91 katika kitabu cha sala.

Kwenye hiyo sehemu ya kwanza, tunafundisha Yohana 3:14–21 pamoja na mambo makuu yake, upendo wa Mungu na imani.

Katika sehemu ya pili tutajadili wazo kuu la siku, yaani, neema ya mbinguni kwa kufikira mafundisho ya Biblia nzima pamoja na changamoto za kupokea au kuelewa. Sehemu ya tatu itakuwa juu ya Waefeso 2:1–10 pamoja na kidogo katika Zab 137 na 2 Nyakati 36.

Karibu!



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa