Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia: 12/5 JP baada ya Kupaa || Yn 17:1–11 na WK: Ahadi ya Roho Mtakatifu


Listen Later

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.

Wiki hii ya Jumapili tarehe 12/5 ni Jumapili baada ya kupaa, ukurasa 113 katika kitabu cha sala cha kanisa la Anglikana.

Tunafundisha kifungu cha Injili, Yohana 17:1–11 na mambo yaliyomo kama utukufu wa Yesu, ufunuo juu ya Mungu na sala ya Yesu kwa umoja na ulinzi wetu. Halafu na tunafundisha juu yaa Roho Mtakatifu na jinsi ambavyo kwa huyu Roho Mungu anakamilisha kazi ya wokovu iliyoanza kwa huduma ya Yesu.

Karibu!



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa