Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia: 19/5 Pentekoste


Listen Later

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.

Wiki hii ya Jumapili tarehe 19/5 ni Pentekoste, ukurasa 114 katika kitabu cha sala.

Kwenye hiyo sehemu ya pili tunafundisha juu ya kuja kwa Roho Mtakatifu,siku ya pentekoste, Matendo ya Mitume 2 na Yohana 14; hasa kwamba Roho ni kwa wote wanaoamini, ni Yesu anayemtuma na kuja kwa Roho ni ishara ya utimilifu wa ahadi za Mungu na ushindi wa Yesu, na kwamba kipindi kipya kimeanza japo kipindi cha kale kinaendelea hadi Yesu atakaporudi mara ya pili.

Karibu!



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa