Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia: 21/4 JP3 Pasaka || Kristo ni Nuru Yetu


Listen Later

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.

Wiki hii ya Jumapili tarehe 21/4 ni Jumapili ya 3 baada ya Pasaka, ukurasa 111 katika kitabu cha sala.

Tunafundisha katika Yohana 8:12–20 kuhusu Yesu akiwa nuru yetu na jambo la kumfunua Mungu Baba. Halafu kuna majadiliano muhimu sana katika kweli ya kwamba Yesu anatupa uhusiano mpya na Mungu na kufikiri zaidi jambo la kumwabudu Mungu katika uhusiano na sio kumwabadu kwa sababu.

Karibu.



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa