Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia: 21/4 JP4 Pasaka


Listen Later

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.

Wiki hii ya Jumapili tarehe 21/4 ni Jumapili ya 4 baada ya Pasaka, ukurasa 111 katika kitabu cha sala.

Katika podi hii tunafundisha juu ya neema ya Mungu kuwafunulia watoto wachunga mambo ya wokovu, na jambo la utatu ambalo Yesu anatufunuliwa kwa kuwa ni Mungu mwenyewe aliyetwaa ubinadamu wetu. Pia tunaona umuhimu wa kumjua Yesu na kujifunza kwake, kama anavyotukaribisha, kuja kwake na atatupumzisha.

Karibu!



This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Wahubiri wa Neno PodBy Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa